http://sufianimafototest.blogspot.com/

SUFIANI MAFOTO

http://sufianimafototest.blogspot.com/
http://sufianimafototest.blogspot.com/
http://sufianimafototest.blogspot.com/
http://sufianimafototest.blogspot.com/

HABARI

HABARI

MICHEZO

BURUDANI

BURUDANI

BURUDANI

BURUDANI

BURUDANI

BURUDANI

SIASA

VIDEOZ

Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa Laurent Fabius


Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa Laurent Fabius amejiuzulu wadhifa huo . Bwana Fabius ambae pia aliwahi kuwa Waziri Mkuu ameteuliwa kuwa Rais wa Baraza la Katiba la Ufaransa.
Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa Laurent Fabius
Maafisa wa serikali nchini Ufaransa wamethibitisha leo kwamba Waziri Fabius amejiuzulu wadhifa wake na kwa maana hiyo ameamua kujiondoa kwenye siasa za mstari wa mbele baada ya kuwamo katika medani hiyo kwa miaka zaidi ya 30.
Bwana Fabius alionekana akiwapungia watu wakati alipokuwa anatoka kuhuduhuruia kikao chake cha mwisho cha baraza la mawaziri leo asubuhi. Mwenyewe amethibitisha kwamba amejiuzulu wadhifa wake, hatua itakayosababisha kufanyika mabadiliko ya baraza la mawaziri baadae mnamo wiki hi


Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na Mkewe Margaret Kenyatta wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mke wa aliyekuwa rais wa Kenya Mwai kibaki , mama Lucy Kibaki .Mazishi hayo yamefanyika jana katika eneo la Bunge la Odhaya kaunti ya Njeri,mjini Nairobi nchini Kenya,ambapo nchini Tanzania iliwakilishwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli. Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Jakaya Kikwete amekuwa miongoni mwa viongozi wa ngazi za juu katika ukanda wa Jumuia ya Afrika Mashariki kuhudhuria hafla ya mazishi ya aliyekuwa mama wa Taifa la Kenya Bi Lucy Kibaki aliyefariki akiwa na miaka 82. Marehemu Lucy Kibaki ametajwa na wanaomjua kama kiongozi aliyetetea mazingira safi ya kifamilia na alikuwa tayari kufanya kila jambo kuhifadhi utu na wema katika familia. Kikwete ambaye aliwasilisha ujumbe wa Rais John Pombe Magufuli alisema kifo cha mama Lucy kibaki kimetokea wakati mchango wake ukiwa bado unahitajika katika ukanda wa Afrika Mashariki. Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto waliohudhuria mazishi ya Bi Kibaki eneo la Bunge la Odhaya kaunti ya Njeri wamemtaja marehemu kama kiongozi aliyekuwa tayari kuhudumia taifa la Kenya.
-