http://sufianimafototest.blogspot.com/
http://sufianimafototest.blogspot.com/
http://sufianimafototest.blogspot.com/
http://sufianimafototest.blogspot.com/
http://sufianimafototest.blogspot.com/

HABARI

HABARI

MICHEZO

BURUDANI

BURUDANI

BURUDANI

BURUDANI

BURUDANI

BURUDANI

SIASA

VIDEOZ

» » Za Mwizi Arobaini, Kijana Adakwa Akijisevia Lap Top Na Simu
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post





Kijana ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa chini ya ulinzi wa Askari wa eneo la jengo la Mifugo baada ya kuakamatwa kwa tuhuma za kuiba Compyuta mpakato na simu ya mkononi katika moja ya gari lililkuwa eneo hilo. Kijana huyo alishtukiwa na mmoja wa wafanyakazi  jina (jina limehifadhiwa) wakati akiwa katika harakati za kufanya tukio hilo katika  Ofisi ya Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Mifugo jana. 





«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

TOA MAONI